[NEW MIX ALERT] TURNING POINT NONSTOP MIX VOL 1 MIXED BY DEEJAY FOE

NONSTOP COVER




Huu ni mwanzo wa utaratibu nitakaokuwa naufanya kila mwanzo wa mwezi kuachia nonstop mix kwa ajili ya mashabiki zangu, na kwa kuanza leo tarehe 4-3-2017 naachia nyimbo hizi mchanganyiko za dini kutoka Tz na Kenya. Nia na madhumuni ikiwa ni kukuweka kaibu na Mungu kwa nyimbo za kusifu na kuabudu...

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NAMI KUPITIA
INST @dvjfoe
FB @dvjfoe
TWITTER @dvjfoe
WHATSAPP +255759205522

No comments