KILIMANJARO ALL STAR - KILIMANJARO

Hama kweli huu ni mfano mzuri tena wa kuiga, ni ushirikiano mzuri wa wasanii wanaowakilisha mkoa wetu wa Kilimanjaro walioamua kukaa kwa pamoja na kurekodi nyimbo ya kuelezea vivutio vilivyopo kaktika mkoa wetu. Ndani ya nyimbo hiyo wapo wasanii wachanga lakini wapo wale wa kitambo katika game kama Ryhms B Top B na wengine wengi. Download na kusikiliza hapo chini

No comments