BEHIND THE SCENE SHIVO FT SINGLE SALLY - BURUDANI

Leo msanii Shivo kutoka Moshi alianza kurekodi video ya nyimbo yake aliyomshirikisha msanii mwenzake wa hapa hapa Moshi Single Sally wimbo unaokwenda kwa jina la burudani, video hii inafanywa na director kutoka hapa hapa moshi anaekwenda kwa jina la Tumsifu Kombe kutoka kampuni ya NORTHWOOD PICTURE. hizi ni baadhi ya picha za uchukuaji wa video hiyeo
shivo mnyama






single sally na shivo mnyama



No comments